Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Nimemiss kula hela zake maana shughuli yenyewe ndio vile tena, ni kibogoyo ila anapenda nyama hatari.

Alafu sio babu, ni kakijana tu ndio kwanzaa kako first year chuo na boom hana.
Mmmmmh
Shogaa, Yamekuwa hayo tena!!! Unataka kusema na wewe tayari kwa babu
 
Back
Top Bottom