Niambie mdogo yhahahhhh dada niache
ni wapi hukoNjoo chilla park beneath na kiseriani seminary.
Umeona eeh?Kuna muda unakuwaga muoga mpaka napata wasi wasi
Hehehesana si mwenzetu manga hataki kuskia mambo ya uzi mana hiki ni kijiwe chake
Wewe weeewe Shunie.na mm sikutaki ata bure
Hahahahahaa utashindwa tu. Sakayo si mtoto chipukizi...Ufe tena!!! Mie nilijua umejiandaa maana hauwezi kamwe kuugua ugonjwa wa presha maana kwa babu kupangwa ni pie. Kwahiyo jiandae kisaikolojia, hapo tu mko kama kumi hivi, ukiacha michepuko na akiana sie.
Na wee...Sema ukweeli sasa, au nianze kutaja mie
NgachokaaaaZamani sana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Uhulu eeeh, sawa
kutoka kwako mbona na ww nakugongea kwa hasira au umevaa miwani ya mbaoKwani huo uzoefu wa kugonga za hasira umeupata wapi
Hapana itakua hukuelewa swali tu uka hofu kuulizakwahyo namuogopa Daby si nimemjibu
PoaaaaChungulia tena[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tena shoga ako ashindwe kwa jina la bwana. Ila ndiye aliyenibikiri muulize vizuriVunja hiyo roho
kama ww na husna [emoji23]Limeishia je ishaje hajakulwa mtu? Au ushakulwa shuni!
HahahaFlesh naona keshapata atakacho kajipumzisha tu anatuchora
hahahhh na ww ndio mmiliki sasa hivAmelima shmba si twala
Kama anataka talaka aje apa huyu kakatazwa apa labda aje kivingine ha ha haaBado kidogo aje kututimua hapa
Usichoke, kizuri kula na nduguyo. Acha tukusaidie kidogo tu.Ngachokaaaa