Muache tu, kwa ile id alishanitongoza na tulishakulana sana tu.hahahhah usikute ushatongoza unachoreka tu
Kuko salamakabisaaa, we karibia tu.Nlitaka kujua tu kama nipo salama nisishindwe kuja kuona watoto
Ndo anatugandisha apa kwa uchizi wake nione wewe ubanduke ha ha haaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Chizi wewe!
changamkia fursa kamvumilia sana huyu babuKifo cha nyani furaha kwa kunguru.
Nitaichangamkia
Sorry bhana... nlikuwa namaanisha ka espy. Tayari nsharekebisha. Mi na wewe hatudhuriani...Khaaaa in Babu's voice ni mm au espy ndio anakugombanisha na baby wako hivi mm nikitaka kukusemea si unajua ntaanza kuyatoa kule kwenye jukwaa pendwa ambapo ndg yangu hayupo usinijaribu babu
Mbona sakayo kasema kenyaArachuga moja hiyo
Mmh
mapaja ya kuchorwaUtakuwa umefanya la maana nimechoka kuchungulia mapajani
Naona za hapa mana mimi sina mwendo mie ni wa hapa tu hao ulisema kwenye nyuzi zinginekutoka kwako mbona na ww nakugongea kwa hasira au umevaa miwani ya mbao
hahahMuache tu, kwa ile id alishanitongoza na tulishakulana sana tu.
hahahhhNaona za hapa mana mimi sina mwendo mie ni wa hapa tu hao ulisema kwenye nyuzi zingine
Usimdanganye bhanaa hatuja fika huko badokama ww na husna [emoji23]
Endelea kunipeperushia ndege uone nitakavyoharibuUlinikuta wapi? Alafu mume wangu amelala anapumzika we unamuamsha, unataka kumpa nini?
Mbona unanikataa sasa?hahahhh na ww ndio mmiliki sasa hiv