Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Yaani nikikumbuka fursa kalizoniharibia..

Nikimwona natamani nizibe kikojoleo chake. Sema kazaa chema tu
Thubutuuuu, uzibe usingizi wa mume wangu si kako nakihamishia usoni, na hivyo kalivyo kaduchu hata kwa kofia unakaficha tu utakuwa haujapata hasara sana.
 
Endelea kunipeperushia ndege uone nitakavyoharibu
Unataka umpe nini mume wangu? Ndio useme vizuri ili nitoe taarifa uongezeke kwenye list ya wanaosakwa na waziri wa afya.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Unataka umpe nini mume wangu? Ndio useme vizuri ili nitoe taarifa uongezeke kwenye list ya wanaosakwa na waziri wa afya.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Leo kuna uzi nilikusoma unajibishana na jamaa mmoja niliona aibu. Sio kwa matusi yale kwa mwanaume na naona ndicho unachotaka kunifanyia hapa
 
Leo kuna uzi nilikusoma unajibishana na jamaa mmoja niliona aibu. Sio kwa matusi yale kwa mwanaume na naona ndicho unachotaka kunifanyia hapa
Kwani yule ni mwanaume?
It cant be.

Hapana wewe siwezi kukufanyia hivyo.
 
Back
Top Bottom