Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Ningekujibu kwa ile lugha sema nimegundua haujuiHuo tunasemaga ni mtongozo wa kiutu uzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekujibu kwa ile lugha sema nimegundua haujuiHuo tunasemaga ni mtongozo wa kiutu uzima
Kweli mkuu, ila ni Mara tu baada yakuingia shimoni na kujiridhisha kuwa Kuna siafu ndo huwa Nyoka anatoka nduki... KWANZA HUWA ANAINGIA.Kamwe Nyoka haingii shimo lenye Siafu......sometimes Nyoka ana akili kuliko Mwanadamu (ME)!
[emoji57][emoji57]zimekufanya upendwe na comments zako [emoji23]
Mie nina mke na watoto 6Huyo anajipendekeza
hahahhh nahisi sura yoyote utakayokua nayo ameridhika nayo akutane na mbaya kama masoud sawa akutane na nzuri sawa [emoji23] yy kakupenda tuEbu mwambie sura yangu mbaya maana unanijua
anataka kutupotezaHuyo anajipendekeza
anakupenda hivyo hivyo [emoji23]Mie nina mke na watoto 6
Sina pesahahahhh nahisi sura yoyote utakayokua nayo ameridhika nayo akutane na mbaya kama masoud sawa akutane na nzuri sawa [emoji23] yy kakupenda tu
Hiyo sio sababu ya kukufanya usipendwe, ndo ushadondokewaMie nina mke na watoto 6
yeye hataki chochote yeye anakupenda ww tu [emoji23]Sina pesa
Sura mbovu
Mie kapuku
Kama kuna pacha wako je, mie nahisi ni wewe.Shunie kanitaja...angalia kuna kajina kakutajia huko nyuma...
Shunie majina ya nyongeza siyataki naitwa Daby
Fanyeni mnidondokee basi mmoja wenu maana naona mnanitakia mazuri [emoji6]Hiyo sio sababu ya kukufanya usipendwe, ndo ushadondokewa
yeye hataki chochote yeye anakupenda ww tu [emoji23]
Hapana, ushawahiwa na binti Husna mtoto mrembo!!Fanyeni mnidondokee basi mmoja wenu maana naona mnanitakia mazuri [emoji6]
hahahhh sakayo ujue kashaingia pm anatuzingua tuKama kuna pacha wako je, mie nahisi ni wewe.
Huo mwandiko unavutia eti!!
acha tumuachie husna hii nafasi [emoji23]Fanyeni mnidondokee basi mmoja wenu maana naona mnanitakia mazuri [emoji6]
[emoji41][emoji41][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]acha tumuachie husna hii nafasi [emoji23]
Hapana, ushawahiwa na binti Husna mtoto mrembo!!
Acha kupoteza lengo
[emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahah .........Ningekujibu kwa ile lugha sema nimegundua haujui
Umependwa ulivyoSina pesa
Sura mbovu
Mie kapuku