Kuna mtu nimemzimikia

dah, mwanaume kutongozwa raha sana!
sometimes me unajikuta unashindwa kuongea tu pale manzi asemapo 'nakupenda'.. teh teh
Hii jinsia ya kike ni hatari.....
Imagine manzi humpendi ila unatamani kula tu kwa kuvumilia hvyo hivyo kisa kajilengesha!
 
sakayo umeona
 
Kweli mkuu, ila ni Mara tu baada yakuingia shimoni na kujiridhisha kuwa Kuna siafu ndo huwa Nyoka anatoka nduki... KWANZA HUWA ANAINGIA.
Well said......I got it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…