Sadaka sa hizi kwelibabu atakua anahesabu sadaka eb acha usimuwaze
Kawaida tu babu ni wa mautani ha ha ha na huyo my x ndo usipime kwa utani ni gia tu alitafutia ya kuingia huku wala usikonde my shemKuna utani unaofanana na kweli ujue
We ndo mbaya kabisaa, kikao cha usiku ni cha harusi hichoKuna kikao cha kanisa kanambia yupo huko si waju ndo vikongwe vinyewe vile
Ha ha haaa ni ukizidi ila huu ni wakawaidaMmmmmh
Utani unaua shemeji
anaelewa mambo ya humu hayamuumizi kichwaYeah watu wanasoma..
Don't get twisted kwa vitu vya kawaida. Ila kama mmeo yupo humu JF kimbia mpendwa.
Najua mama, lazima nikondeWivu ni kidonda.....
hahahah dada ujue nakuonea huruma halaf unanichekesha ujue siamin kama n wwSawa tuu
za siku nzimaSadaka sa hizi kweli
Usemalo ni kweli ila naomba kuuona huo uzi watu wa haribifu sanaYeah watu wanasoma..
Don't get twisted kwa vitu vya kawaida. Ila kama mmeo yupo humu JF kimbia mpendwa.
hahahaahh sbbu espy hayupo unamuuaKawaida tu babu ni wa mautani ha ha ha na huyo my x ndo usipime kwa utani ni gia tu alitafutia ya kuingia huku wala usikonde my shem
Hafu wewe ndo nini unaniambia tumuweke sawa hafu unacheka nini sasaHahhahahhhaa kweli huku ni kupatwa kwa penzi aisee mm siwezi jamaan
Kwa nini mdogo wangu jamanihahahah dada ujue nakuonea huruma halaf unanichekesha ujue siamin kama n ww
Alicomment Shunie akakotiwa.Usemalo ni kweli ila naomba kuuona huo uzi watu wa haribifu sana
Hili neno akilisikia babu umemuua kama unampenda kua kawaidaNa mtanipiteza si muda, nasikia moyo una sukuma babu Asprin tuu, hausukumi tena damu
Haiwezekani kabisaa, semeni kingine! Pacha huko kwenye jukwaa lenu la madyudyu ukimuona mwambie nikifa asiweke msiba [emoji24] [emoji24]za siku nzima
Hapa cha wazee wa kanisa kwani hujui majukum yake ndo watunza fedha waleWe ndo mbaya kabisaa, kikao cha usiku ni cha harusi hicho
Hao wachungaji hawajui ana muke yakeHapa cha wazee wa kanisa kwani hujui majukum yake ndo watunza fedha wale
Sawa tuuuHa ha haaa ni ukizidi ila huu ni wakawaida
Duh tupunguze masiala kumbe kama kweli yupoanaelewa mambo ya humu hayamuumizi kichwa
Haya bwanaaaKawaida tu babu ni wa mautani ha ha ha na huyo my x ndo usipime kwa utani ni gia tu alitafutia ya kuingia huku wala usikonde my shem