Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
rudi basi kwenye hali yakoNahisi hayupo nchi hii kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rudi basi kwenye hali yakoNahisi hayupo nchi hii kwa kweli
Kiinua mgongo pacha na mapenziHahHahhh yaan ujue nacheka sana ni mapenzi haya haya au kuna kingine
Sawa tuuunenda kasome kalete thread ya kijinga jinga tu
Nitarudi tu, ngoja nikanywe Maji nilale, walau moyo usukume hayo Majirudi basi kwenye hali yako
mwana Mmu pitia hapa ujinga ujinga tuHuo uzi unaitwaje pacha
hahahhah acha tu ninyamaze sbbu pacha wangu angekua Daby au manga au espy ningewapa yaoKiinua mgongo pacha na mapenzi
mmhNitarudi tu, ngoja nikanywe Maji nilale, walau moyo usukume hayo Maji
Basi sawamwana Mmu pitia hapa ujinga ujinga tu
Sawa pacha ake mie, nakupenda ila babu nampenda zaidihahahhah acha tu ninyamaze sbbu pacha wangu angekua Daby au manga au espy ningewapa yao
najua pacha unampenda babu zaidi ata mm nimeona [emoji23]Sawa pacha ake mie, nakupenda ila babu nampenda zaidi
na mm nalala ww ndio ulinirudishaMlale salama wote
Kumbe unampenda yule kibabu?Babu yangu wa moyo Asprin, popote ulipo jua bado nakupenda pamoja na tuhuma zoote moyo umegoma kusukuma damu unakusukuma wewe apo. Ulale salama honey wa mie apa!!!
Haya tunajua pacha unampenda babu zaidi ata mm nimeona [emoji23]
Usiku mwemana mm nalala ww ndio ulinirudisha
Yupi huyoKumbe unampenda yule kibabu?