Kuna mtu nimemzimikia

najua babu ndio mana sakayo anakupenda sana
Ewaaaaa... huwa nammiminia mahaba na vitongoji vyake. Mtoto wa watu haambiwi kitu.
Kabla hajaomba kishapewa.
Last time wakati anajipanga kuniomba nimnunulie Vitz new model, akajikuta kashakabidhiwa BMW kabla hajaongea.

Sipendagi ujinga kwenye mahaba mimi...
 
hahahhhh sakayo akisikia habari pension atakufwaaa

Daby kasema ataunda group la mm na ww ili tumuonyeshe zagaa na yy atuonyeshe kirungu [emoji23]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kwakweli hiki anachotunyima daby we muache tu, kwani yeye anashida gani ya yetu? Sisi ndio tunashida na umasai wake bwana. Asitufanyie hivyo.
 
Kumbe unakubali kuwa unagawa mahaba hadi kwa vitongoji vyake!! Sakayo hatimae kasema mwenyewe usijesema hatukukwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…