Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ila ngoja sie tuendelee kutizama mchezo unavyoenda.....Huyu mtoto anahitaji darsa kwakweli, kwa mzee unajichotea tu na kusepa, yeye eti kawekeza moyo, ngoja yamkute.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Shemeji ukiwa kwenye mahaba ndiyo unakuwa mkali hivi
sawa my dada binamu.. i love you .. kama wanakuzingua huko hawakuridhishi wewe njoo kwanguMy kaka hilo ulolifanya hapo ndio inasababisha nisikueleze mambo yangu. Huyo ndio shemeji yako jamani.
sasa inakuaje?Ila ngoja sie tuendelee kutizama mchezo unavyoenda.....
Acha tu niyaseme.siri za ndani hizo daby.
Khaaah!! Hebu niwache na wewe, mbona mnanitafutia balaa lakini? We ndio umemtuma eeh?Ila utabiri wake mzuri.. au hujaupenda shemeji
Ujue nilikuwa na imagine ndiyo upo kwenye hayo majamboz unakuwajeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa ulikuwa unacheka nini? Kaone!
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]kivipi tena my dada amekuwa shemeji yako...? ama umemshindwa mrudishe binamu yangu ,, nyama ya ham hii au hujui?
Mmmhsawa my dada binamu.. i love you .. kama wanakuzingua huko hawakuridhishi wewe njoo kwangu
Nanihii ukiwa na stress za pesa ni kama upo shambani unalima.Utapenda nanihiiiiiiiiii
Si nausubiria huo mtonyo ulioniambia unanitumiasasa inakuaje?
Wala kaletwa humu na dada yako Honey FaithKhaaah!! Hebu niwache na wewe, mbona mnanitafutia balaa lakini? We ndio umemtuma eeh?
Sasa my kaka huu ubinamu unakujaje tena?[emoji134] [emoji134] [emoji134]sawa my dada binamu.. i love you .. kama wanakuzingua huko hawakuridhishi wewe njoo kwangu
nakupenda sana dada yangu.. sipendi uumizwe bora nikulee tu ndani[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hapa sina kaka haki vile!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]ninayo.. namaanisha nitumie namba yake nimrushie mwenywe ,, wew ukitaka kitu si unaingia tu chumbani kwa binamu yako unachukua mpunga juu ya kitanda
Nani huyo?Mbona sielewi?Wala kaletwa humu na dada yako Honey Faith