Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Nakufaham sana dada binamu huyu jamaa mpya hutamuweza .[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unajua nilienda kwa lengo la pension nimejikuta nazama tuuHuyu mtoto anahitaji darsa kwakweli, kwa mzee unajichotea tu na kusepa, yeye eti kawekeza moyo, ngoja yamkute.
Haya kutafuta kwema.Wala shemeji makoloni yote niya yao yalikuwa kukuzibia wewe riziki tu... ona hawapo tena
Ivi kiinua mgongo cha babu hakijaisha tu... tukuchukueDada moyo wangu mie
Nani alikuambia kwa vibabu unawekeza moyo?Dada moyo wangu mie
Nmekuambia ili baadae usije nilaumu bure pm kama kipindi kileHaya kutafuta kwema.
Ipo kwenye gazeti la leo baada ya picha ya bashite kaangalie.Siji bwana nitumie picha.
My kaka we dont hv a voice when our hearts makes choice. Yaani kwa MO11 ndio nimefika, hayo madhaifu yake nimeyakubali hivyo hivyo na kwa kiasi kikubwa amebadilika sana kwahiyo najua na hayo mengine yataisha.Nakufaham sana dada binamu huyu jamaa mpya hutamuweza .
Tabia zake zipo wazi siku ukipata muda uniambie nitazimwaga zote..
Kwa style ya mange
Basi pole sana.Unajua nilienda kwa lengo la pension nimejikuta nazama tuu
Kwa sababu gani?kuanzia sasa wewe huna undugu na espy
Pm kwangu waja kufanya nini?Nmekuambia ili baadae usije nilaumu bure pm kama kipindi kile
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Ipo kwenye gazeti la leo baada ya picha ya bashite kaangalie.
Khaaah..Pm kwangu waja kufanya nini?
Hehehe
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Khaaah..
Nakuambia ninatafuta mapema ili baadae nikishapata usinifuate pm kunilaumu sikukuambia