Kuna mtu nimemzimikia

My kaka we dont hv a voice when our hearts makes choice. Yaani kwa MO11 ndio nimefika, hayo madhaifu yake nimeyakubali hivyo hivyo na kwa kiasi kikubwa amebadilika sana kwahiyo najua na hayo mengine yataisha.

I love him.
Madhaifu yake hayabadiliki, muulize deby..
Anakuchora tu ndio maana nammind sana deby na nilishtuka sana nilivyoona leo asubuhi kuwa umemkumbiza deby.
Huyu mtu wako mpya yupo kwenye list ya kigwangwal... Thats why najua kuwa anytime unarudi home.
Hapa nishakuandalia kila kitu utakupata utapata tulizo la mouo binamu.
Naona huko nje wanakuzingua tu
 
Sasa tulizo la mauno ndilo lililonifikisha kwa MO11 wangu!! Koma kabisa kumsingizia mume wangu.
Napata ninachokitaka, yaani zaidi na zaidi. Tena usinikumbushe nisijemfuata ofisini sasa jivi maana jioni naona mbali.
 
Sasa tulizo la mauno ndilo lililonifikisha kwa MO11 wangu!! Koma kabisa kumsingizia mume wangu.
Napata ninachokitaka, yaani zaidi na zaidi. Tena usinikumbushe nisijemfuata ofisini sasa jivi maana jioni naona mbali.
Ha ha yani ukienda ofisini utakachokikuta usije ukaanza kulia lia.

Mimi nimeshasema siwez kuwa adui ka kuongea ukweli.

Nakupa wiki tu
Uzuri nyumbani unakaribishwa muda wowote... Rudi kwenu ka binamu yako
 
Husna ndio alomfungulia daby uzi.
Ha ha .
Tatizo lako dada yangu unanidharau binamu yako.
Nilikuambia huyu daby ni kicheche ukakataa.
Sasa huyu mpya nakuambia aliitwa kwenye list ya kigwa hutaki.
Haya bwana..
Binam yako nyama ya ham nipo stand by..
If they broke ya heart i will always repair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…