Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Madhaifu yake hayabadiliki, muulize deby..My kaka we dont hv a voice when our hearts makes choice. Yaani kwa MO11 ndio nimefika, hayo madhaifu yake nimeyakubali hivyo hivyo na kwa kiasi kikubwa amebadilika sana kwahiyo najua na hayo mengine yataisha.
I love him.
Anakuchora tu ndio maana nammind sana deby na nilishtuka sana nilivyoona leo asubuhi kuwa umemkumbiza deby.
Huyu mtu wako mpya yupo kwenye list ya kigwangwal... Thats why najua kuwa anytime unarudi home.
Hapa nishakuandalia kila kitu utakupata utapata tulizo la mouo binamu.
Naona huko nje wanakuzingua tu