[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Mambo
tehUjue sipendagi kukubaliwa haraka...
Kaneno kamoja tu ukanikubalia shemeji...labda kama upo tayri kunizungushazungusha
naona aiseemy role model
Hivi kumbe kweli mna mpango wa kumchungulia?ugomvi wetu utaisha ukikubali tukuchungulie
Salamu tu umeshakimbia shemeji...[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
acha awaisome namba eenh [emoji23]Na wavimbe wapasukeee.....
Watajijua wenyeweee....
Safi sana.Ishaisha yote, si unajua tulikuwa tunashea akaunti
Kwakweli... hivi sasa naanza undava. Yeyote anayeingia anga zangu nambadilisha jinsia afu kojoleo naliweka kisogoni.mtumie hata radi tu huyo na mvua hii hakuna atakayeshangaa
Hivi na wewe umehusika???acha awaisome namba eenh [emoji23]
Kwakweli nimeumia hadi nimelia, hawezi kunitukania mume namna hiyo[emoji57] [emoji57]najua maumivu uliyoyapata nami nimepata hayo hayo
hivi ungemuona jana usiku muulize mangaSiamini kama hili libabu ndio linakufanya upotee na kunyong'onyea hivyo!!
Tena kasepa na pension, safi sana.kidogo anaanza kurudi
[emoji23][emoji23]Unajua nilienda kwa lengo la pension nimejikuta nazama tuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]mm najitahidi kumtoa kidogo kidogo mpk babu ananiita mm shunie mange kimambi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]mtumie hata radi tu huyo na mvua hii hakuna atakayeshangaa
Binamu mbona maswali mengi?Salaaaalehh!!
Huyu binamu yangu ana ex wangapi?
Asitutanie hakuna kuachana, hata kama hawatakani basi wavumiliane tu.kama husna kaachwa tusubili kufukuzwa kwenye uzi wake