Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Utalimiss vp?!me naogopa kumiss neno nakupenda jamanii.....ha ha ha ha ha ha ha afuataaa mila na destu....
Mila gani zinakataza mwanamke na mwanaume kulala kitanda kimoja bila nguo?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utalimiss vp?!me naogopa kumiss neno nakupenda jamanii.....ha ha ha ha ha ha ha afuataaa mila na destu....
mm nitaichukua sitamtumiahujanipa namba .. au mwambie shuni anipe yake nimtumie yeye afu atakupa
Unafifia then unakufa.Undugu huwa haufagi. Unafifia tu
Pensheni kabakiza. ...Kaniacha na maumivu ya moyo...
mtungie tu mashahiri bila hela unasinzia tumwendo wa mashairi... sijui na mm nimtungie honey..?
Mambome naogopa kumiss neno nakupenda jamanii.....ha ha ha ha ha ha ha afuataaa mila na destu....
We mbona umemkosea heshima mume wangu eti yupo kwenye list gani sijui!![emoji24] [emoji24] [emoji24]Dada yangu unanikosea heshima.
Haya nenda kalete wajomba sisi tutawalea .
Sa hivi sikupi ushauri wowote .. Kaa na watu wako
Hahahhh yangu nishakutumia ukituma muamala mtumie na manga no yanguha ha h ...ujumbe kama huu utasababisha pm yangu ijae namba zao watanijazia namba zao huko
Hahahhhhhhahha we sema tu hivyo afu ukutane na denda la babu na mapengo yake.. noma
Saint Ivuga kamwambia ww ndio mwizi wake
Deby tuheshimiane.. Achana na huyu mtoto..Mambo
Kidogo pacha unaanza kujitambua hawa wanaume n kuwaangalia tuYaani jana tu nimemkuta anammendea binti aliyejitangaza anapenda pweza halafu akapotea mazimaa, leo kuna mwingine anataka akamdhibitishe halafu amepotea kabisaa. Hivi mie nitakuwa na moyo wa chuma au??? Babu moyo wangu ni wa nyama, mengine nipunguzie mie
wafanye hivyo kwakweliTunaomba mod huu uzi title yake iwe
Shunie
espy
husna muba
Manga ML
Daby
Sakayo
MO11
Asprin
Saint Ivuga
Honey Faith special thread maana sio kwa kuujaza hukuuu.
Tatizo dada yangu espy hapendi kuambiwa ukweli.Saint Ivuga kamwambia ww ndio mwizi wake
[emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji126] [emoji126]Awwww!!!!
Yaani hisia nilizonazo juu yako hata hazielezeki, nimeshindwa hata kuelezea nimeishia kutabasamu tu.
Yo ma happiness sweetheart.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]