Hawezi. Mi mjanja nilifungua fixed accountna presha babu ya mafao
sawaHeheh kwani kuna ukomo wa kuwa na X?
Ngoja tuchukue na Y
sakayoHawezi. Mi mjanja nilifungua fixed account
Habari ya siku mingi, na wewe umenikacha?sawa
Hebu Nambie nifanyeje dadaKwakweli mdogo wangu hapa sio bure kuna namna!
AaaaahAaaah mie huwa am following ma heart ina sisahau taking my brain with me.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ushindwe kwa jina la yesu na malaika wake.
Hahahaa
Pole babu, nilikupenda ila moyo ndo umegoma kukuamini tena [emoji174]Sitokaa nikusahau... umenipeperushia ndege wangu.
Nimekusamehe lakini.
Maskini Sakayo wangu,
Kaondoka bila hata kuniaga
Ameniachia majanga,
Moyo umekalumakanga,
Umevimba dungu kama shanga
Ameniacha nashangaaaaaaa
Natamani nitoe chozi,
Nijilaze chini kama chizi,
Nijichimbie kama mizizi,
Dunia haina ajiziiiiii
Kabisa, wao wavumiliane tu, hamna namna ya kuachana.Hahaha ili watuache na uzi wetu
Mmmmh!!Khaaaa
mm ata sijui halipo wala sijamuona kabisa leo