Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Sitokaa nikusahau... umenipeperushia ndege wangu.

Nimekusamehe lakini.

Maskini Sakayo wangu,

Kaondoka bila hata kuniaga
Ameniachia majanga,
Moyo umekalumakanga,
Umevimba dungu kama shanga
Ameniacha nashangaaaaaaa

Natamani nitoe chozi,
Nijilaze chini kama chizi,
Nijichimbie kama mizizi,
Dunia haina ajiziiiiii
Pole babu, nilikupenda ila moyo ndo umegoma kukuamini tena [emoji174]
 
Back
Top Bottom