Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alionekana ha ha haaa au ndo kakimbia hicho kitamaniwacho na my x na mine wa sas hafu nna bahati mbaya dha hem niitie shem wangu ajeHusna kapotea gafla hata pm simwonii... itabidi nianze kuwinda hakuna namna
Mie sijamleta bwana, amemfuata Honey Faith na Shunie.espy umemleta kaka yako humu kufanya nini aende akacheze huko na wa rika lake. Mbona ananipimia visawe vya kukuambia....
Unamuwinda nani?Husna kapotea gafla hata pm simwonii... itabidi nianze kuwinda hakuna namna
Hawa utawawezaAlionekana ha ha haaa au ndo kakimbia hicho kitamaniwacho na my x na mine wa sas hafu nna bahati mbaya dha hem niitie shem wangu aje
Binamu umekula maharage ya wapi leo?kuna sehemu inabidi ulimi utumike sana .. sasa hawa watoto wa bara naona wanampotezea muda binamu yangu,,.. wanioe tu binamu yangu.. kwanza sa hivi ulimi wangu una njaa sana umeshammiss binamu yangu
Manga umechokaa kuniona nikiwa hai siioUnamkosea babu sifa zake
Huyo ni MKUU WA MABAZAZI
Haya utume, uambatane na muamala basi.watauiba afu watanijazia pm yangu.. huo ni mahsushi kwako tuu
Unataka kuniharibia.... supriseeeeUnamuwinda nani?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]hutaki ee?
KimyaTeh teh kajibuje apa
Hivi ndio umegoma kutuonyesha?Haha..ni nazo kweli wewe huzioni
Mmmmmhhahahhh ata sijui pacha lkn mm nimeomba kirungu tu hivi hujasikia sifa ya masai Daby atuonyeshe tu
Weeeh!! Mie nina mume[emoji57] [emoji57]Unataka kuniharibia.... supriseeee
Kaa chonjo inaweza kuwa hata wewe.
Mmeshindwa kutimiza mashartHivi ndio umegoma kutuonyesha?
Hapana kwani inamaana mbaya hiyo bazazi?[emoji1] [emoji1]Manga umechokaa kuniona nikiwa hai siio
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Mmeshindwa kutimiza mashart