Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Weee na wee unaringaga kama unajioshaweeeeeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee na wee unaringaga kama unajioshaweeeeeh
Hanitaki bhana ntampiganao kwa mbali wee muacha tu.Manga fanya umchukue shua basi uzi uwe wa makapo tu
Sijasema unataka... KaoneHahahahahh na mm sitaki
hahahhah kujiosha nn yaan Daby ww inaonekana mtto wa kihuniWeee na wee unaringaga kama unajiosha
Uphfuuuu asante my hubyHawanipati mamy..
Ujue kwa penzi lako nawaona wanawake wote midoli
hahhahah popobawa auHanitaki bhana ntampiganao kwa mbali wee muacha tu.
EshampataMfate tuu pm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mm sikutaki endelea na husna wako
Tehteh... toa hicho kipochi watu watafunehahahhah kujiosha nn yaan Daby ww inaonekana mtto wa kihuni
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji5] [emoji5] [emoji5]
Njoo inbox tuyaongee husna mubaHabari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Duh tumejibu woteAshanipata
[emoji4][emoji4]Uphfuuuu asante my huby
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haha hahaaaa sawa mymm sijakataa husna
teh teh umemjibu kwa upoleEshampata
Hujipendi unataka nini wewe mii nakuonea hurumaSuuuuuuuuuu
mbona kinatafunwa na mwenyewe hana shida anajilia tu mda wowote tu anaotakaTehteh... toa hicho kipochi watu watafune
Kwani haioshagi?Weee na wee unaringaga kama unajiosha
Manga naye akule....mbona kinatafunwa na mwenyewe hana shida anajilia tu mda wowote tu anaotaka
Umeona eehWeee na wee unaringaga kama unajiosha