ufalme wako uko apiAu vp Shunie nakukaribisha kwa mikono miwili kwny ufalme wng
Hapo pagumunahisi mtakua ndugu wa mbali mbali
HapanaFomu naruhusiwa kuchukua jibu kaabla watu hawajawa wengi
Upo kwngufalme wako uko api
Mmmmmhni hivyo buana [emoji23]
kuna vitu gan vizuri huko kwenye ufalme wakoUpo kwng
hahahhHapana
We cheka tuu, unaweza kuta ni babangu anataka kuchukua fomuhahahh
hahahah mm ndio mambo ya humu naogopa sana mpk untumie kapicha kwanza [emoji23]We cheka tuu, unaweza kuta ni babangu anataka kuchukua fomu
Kn upendo wa dhatikuna vitu gan vizuri huko kwenye ufalme wako
Umeonaeee, mara atume picha ya rafiki yakehahahah mm ndio mambo ya humu naogopa sana mpk untumie kapicha kwanza [emoji23]
Tena ngoja mi nimuwahiKn upendo wa dhati
Mahaba na mahabati yakutosha
Vingine ni vya siri nikisema hapa watakuwahi
huyo aysher ameshaniwahi kazi kwako sasaTena ngoja mi nimuwahi
Kn upendo wa dhati
Mahaba na mahabati yakutosha
Vingine ni vya siri nikisema hapa watakuwahi
hahahh ya rafiki yake mwisho wa siku lazima muonane sura ataficha wapi [emoji23] ila mambo ya humu yanaogopesha sanaUmeonaeee, mara atume picha ya rafiki yake
Mwendee tuu pm,haina shida.Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Wala usihofu kumfuata PM. Sheria za JF zinakataza kuanika mazungumzo binafsi mliyoyafanya PM...Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Yanatisha kuliko tetemeko la ardhihahahh ya rafiki yake mwisho wa siku lazima muonane sura ataficha wapi [emoji23] ila mambo ya humu yanaogopesha sana
HahahahhYanatisha kuliko tetemeko la ardhi