Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Mwendee tuu pm,haina shida.
 
Wala usihofu kumfuata PM. Sheria za JF zinakataza kuanika mazungumzo binafsi mliyoyafanya PM...
 
Back
Top Bottom