Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Subiri utakapokuwa unazungumza kwa kutumia akili, sasa hivi ufuate tu moyo wako akili mpe daby.
Wewe mwanamke wewe. Ebu niache nibebike na haba nono
Mi daby simuachi hata mkisema nn aisee
Wallah tena
Waharibie baby.
Unafikir wnayoyaandika nayaona basi. Kila comment leo huku naona imeandikwa husna muba.
hahahhah moyo unasukuma Daby
Moyo wa malkia wa nguvu lazima umsukume mwanamme anayempenda ati.
 
Back
Top Bottom