Kaninong'oza et kumbe hakukosea kujilipua mana si kwa upinzani huuMbona unalia kipenzi au furaha iliyopitiliza juu ya hili penzi letu zito.
Mimi ni wako ati.
We shidwaaaa!! Kuchungulia tu.Halafu ukimchingulia au ndip safar moja uanzisha nyengne
[emoji15] [emoji87] bony funuaa
Da majukumu tu,si unajua tenaNipo wifi yangu wa faida, ulipotelea wapi wifi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]Natania tu wifi
Anazuga kuficha kitu apo sim mtu mzuri huyuKahamia kwangu anataka anchungulie hafai huyo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Bahati yake
Halafu tena mnaanza chokochokoujue sisi tumemkutanisha na Daby
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Sina mpango huo mpenzi. Kama ni limbwata nitakutafutia mwenyewe unitilie tu. ..
Navuruga upande wa pili natengenezahHahahhh kivuruge kwenye ubora wako
Ha ha haaa jiulize apoHalafu tena mnaanza chokochoko
Tumefanyajeee...Nyinyi watu nyinyi
We shidwaaaa!! Kuchungulia tu.
Anazuga kuficha kitu apo sim mtu mzuri huyu
Tehteh walijua sikujui eti...Yote makabila yangu
Makonde miksa digo
Kaaga mapema h ha hayoko sawa leo kazidiwa kete ha ha haaaaLeo lazma aote ndoto mbaya sio kwa madukuduky hayo aliyokuwa nayo
Yule hana kambilimbi ana dushe,afu uichungulie ili iweje???!!!Hapana mie sijaumia ila namsubiri tu nimchungulie kambilimbi kake.
Achana nao haoo wanakumezea mate wanataka tugombane wakuchukue tuMamy eti nina kambilimbi mimi! Ebu waambie waache maneno hawa wanawake