Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Mrejesho please my Ex
 
Babu Asprin kanyonya asali imekwisha alafu eti ndiyo unajidai umenizimikia???[emoji125][emoji125][emoji125][emoji137][emoji137]
 
Back
Top Bottom