Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi upo?Yesuu makubwaa
Kuumbe basi sawaShunie hawezi kuniangusha. ni mdau wangu damu daamu
Nimejaa teleeeHivi upo?
Basi ntakua na makengeza ndomana sikuoniNimejaa teleee
Pamoja sanaKuumbe basi sawa
Utanisalimia ukimuona nna mwaka sasa sijamuona huyo mdau wakoPamoja sana
Nipo naye huku mtaa wa pili, ebu fanya kuvuka fensi ujeUtanisalimia ukimuona nna mwaka sasa sijamuona huyo mdau wako
Nipo mimiUtanisalimia ukimuona nna mwaka sasa sijamuona huyo mdau wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nani huyo tena
Alie fanyaje?Nani huyo tena
Amekuja asee nimeamini usemayoNipo naye huku mtaa wa pili, ebu fanya kuvuka fensi uje
Kweli upo lakini sikuonagi fanya uje kule usiku wa mananeNipo mimi
Bora umefika maana kubeba salamu ni kama kubeba Makinikia[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nipo mimi
Hapana mkuu slam si mzigo wahenga walisemaBora umefika maana kubeba salamu ni kama kubeba Makinikia[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sitawaangusha-JPMAmekuja asee nimeamini usemayo
KheeeeNipo naye huku mtaa wa pili, ebu fanya kuvuka fensi uje