Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
NaaminiSitawaangusha-JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NaaminiSitawaangusha-JPM
Makaburi yanafukuliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yesuu makubwaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kheeee
Najua wapi nimekuta mnazungumza na mm nimetajwa nimeulizaAlie fanyaje?
Nashindwa kuja kule usingizi unakuwa umenishika mida ya hamsha popoKweli upo lakini sikuonagi fanya uje kule usiku wa manane
Teh teh na kweliBora umefika maana kubeba salamu ni kama kubeba Makinikia[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jungu kuu halikosi ukokoMakaburi yanafukuliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mwenzio anaamini kweli hapo yaan [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AhahahhhJungu kuu halikosi ukoko
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Najua wapi nimekuta mnazungumza na mm nimetajwa nimeuliza
Natumai utakuja japo kwa salam tu uendelee kulalaNashindwa kuja kule usingizi unakuwa umenishika mida ya hamsha popo
Nitajitahidi nikiweza nitakuja tatizo ule uzi unaanza saa 6 huko watu tunakuwa tupo ulimwengu mwingineNatumai utakuja japo kwa salam tu uendelee kulala
Mmh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jina lako ni kubwa sio ajabu kutajwa bila sababu
Ni hivi.Najua wapi nimekuta mnazungumza na mm nimetajwa nimeuliza
Umeongea vyema kabisaNi hivi.
Huyu mleta uzi alituambia tuachane na hili kaburi, mimi nikamuambia tuachie sisi tuendelee kulienzi maana wengine kama mimi sijawahi kuzimikiwa.
Manga ndio akaja akaniambia ni kweli hili kaburi tuliachiwa na mwenye ushahidi ni Shunie, halafu nikamwambia nitamuuliza ili nithibitishe
Ukweli na Uwazi-AHMUmeongea vyema kabisa
Ha ha haaa ulimwengu mwengine aisee hongela kwa kupaishwa kila sikuNitajitahidi nikiweza nitakuja tatizo ule uzi unaanza saa 6 huko watu tunakuwa tupo ulimwengu mwingine
Ni kweli huu uzi alituachia husna bada ya kumpata anayemzimikia tehNi hivi.
Huyu mleta uzi alituambia tuachane na hili kaburi, mimi nikamuambia tuachie sisi tuendelee kulienzi maana wengine kama mimi sijawahi kuzimikiwa.
Manga ndio akaja akaniambia ni kweli hili kaburi tuliachiwa na mwenye ushahidi ni Shunie, halafu nikamwambia nitamuuliza ili nithibitishe