Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Muulize kweeliDada buana ebu sema kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize kweeliDada buana ebu sema kweli
Ya baridi eenhAzam juice
@Mwifwa ebu kuja hapa kumbe una ma id mengi eenhMuulize kweeli
EwaaYa baridi eenh
Hehe@Mwifwa ebu kuja hapa kumbe una ma id mengi eenh
Jaman si umeniambia nimuulize dadaHehe
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji134]
Muhudumu ebu ukuje hapaEwaa
NdiooJaman si umeniambia nimuulize dada
Mhudumu tenaaMuhudumu ebu ukuje hapa
Ndiwooo akuje akuhudumie hiyo azamNdioo
Mhudumu tenaa
We huna kwenye frijiNdiwooo akuje akuhudumie hiyo azam
Hicho kikohozi veepeKho Kho Kho Kho Kho Kho
Hujambo wewe jiraniHicho kikohozi veepe
MmmhhhAko na id ya zamani huyoo
Cc jiwe
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hallelujah
Sema Mwifwa... We mgeni kweeli au kuna namnaMmmhhh
Nini tena Sakayo
Nimekuja Shunie.@Mwifwa ebu kuja hapa kumbe una ma id mengi eenh
Sijambo.Hujambo wewe jirani
Mimi nimejiunga JF April 03, 2017 kwa hiyo kwako na Shunie ninyi ndio watu/wenyeji wangu hapa maana nimewakuta.Sema Mwifwa... We mgeni kweeli au kuna namna
Niko poa kuliko janaSijambo.
Hofu kwako