Nawee unagawio ujue wee hayaDaby [emoji23]
Kujuana je?Ripoti nzuri sana wameelewana
gawio gani tenaNawee unagawio ujue wee haya
watajuanaga pm hukoKujuana je?
Kasema ww ni babu yake tu nikuombe ruhusa
Kwani Daby kajulikana wapi?in love wananijulia wapi mm
Daby kajulikana kwenye comments na thread zake ndio kilichofanya azimikiweKwani Daby kajulikana wapi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nyie watu mbona mnanifnya nigande humuWe cheka tuu, unaweza kuta ni babangu anataka kuchukua fomu
Usiogope kujiamini tuhahahh ya rafiki yake mwisho wa siku lazima muonane sura ataficha wapi [emoji23] ila mambo ya humu yanaogopesha sana
Mkuu upendo ni giza weshamalizana tayri mapenzi hayashauliki kwakweliFuata ushauti nliokupa
Endelea kuganda[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nyie watu mbona mnanifnya nigande humu
Mara moja moja nachungulia tunimefurahi kukuona tu wa tanga mwenzangu sijakuona mda sana
hahahhhahMkuu upendo ni giza weshamalizana tayri mapenzi hayashauliki kwakweli
sawaUsiogope kujiamini tu
Hivi umeshindwa kungea na mm mpaka umeamua kunitangaza humu? Haya niache tu ntapata wa kufanana na mimiHabari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
hahahhh ganda tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nyie watu mbona mnanifnya nigande humu
Mambo poa. Haya nambie umeamua kunisaliti mchana kweupe???Shkamoo babu