KakukanaJaman si umeniambia nimuulize dada
Hahahaaa wewe c ulifichwaBasi ntakua na makengeza ndomana sikuoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaburi hilo kabla obe hajapatikanapoor obe ndo katoswa au?
Hakuna juice imeishaJuice baridiiii
Acha tuKakukana
kuwa mpole tu bebe, nenda nae taratibuuAcha tu
Pole kwa kikohozi tumia koftaKho Kho Kho Kho Kho Kho
Hapana sijafichwa wewe ndo umefichwaHahahaaa wewe c ulifichwa
Nipo vizuri sijui wewe huko?Manga niaje jombaa
Ujue sijui kabisa.Mie nina mwezi tu humu ujue
Halafu shemeji anakuficha nini hauonekani mzee humu.
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu
Nifanye ñn?
Nilikuambia ning'ate sikio kidogo nimjue aliyesababisha huu uzi kuundwa hujaniambia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaburi hilo kabla obe hajapatikana
Nipo mimi jamaaan za wewe apo
Hapana hua naonekana usiku mwingi siku hizi ila hua sikuoni pia bila shaka na wewe umefichwaHalafu shemeji anakuficha nini hauonekani mzee humu.