[emoji106] [emoji106] [emoji106]Ewaaaaaa
Ebu badili avatar kwanza usikute hiyo ndio tatizo ujue ndio mana huzimikiwiEbu muache bana, naona anaweza kunizimikia mimi hapa.
Nyota yangu nayo imekaa tenge kama muhimili wa Dunia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo avatar ni mguu wangu wa kulia.Ebu badili avatar kwanza usikute hiyo ndio tatizo ujue ndio mana huzimikiwi
Mguu wako wa nini sasa ndio mana hawakuzimikii badili avatar hiyo utakua unalia lia kila sikuHiyo avatar ni mguu wangu wa kulia.
Ebu wataalamu nyumbueni mtapata jibu
Basi nitatafuta ya kiben 10 maana mimi nishakuwa kiben 11Mguu wako wa nini sasa ndio mana hawakuzimikii badili avatar hiyo utakua unalia lia kila siku
Woiiiii huko ndio utazidi kuharibu niko nalala Yesu akulinde na damu yake [emoji120]Basi nitatafuta ya kiben 10 maana mimi nishakuwa kiben 11
Na wewe piaWoiiiii huko ndio utazidi kuharibu niko nalala Yesu akulinde na damu yake [emoji120]
Asante MangaPole kwa kikohozi tumia kofta
Abee mama!@espy auntie ukuje unaitwa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Leo silali kwa ajili yake... Nataka tutafute wakwe wanaoeleweka kama wako
Abee my ex.
Ukitaka kuwa bondia usiogope ngumi za uso....Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Penda saasanikipenda
Safi maamboZa masiku
Umeona ee..?!Mwambie tunaganga ya jayo
NdiooooKwani si ulituachia wewe mbona wajichekesha tu?
Hamna anazingua tuHivi huyo ni ex wako eeh?