Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Ebu muache bana, naona anaweza kunizimikia mimi hapa.
Nyota yangu nayo imekaa tenge kama muhimili wa Dunia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu badili avatar kwanza usikute hiyo ndio tatizo ujue ndio mana huzimikiwi
 
Leo silali kwa ajili yake... Nataka tutafute wakwe wanaoeleweka kama wako
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
We sema tu unataka mahari, yaani unataka kuniozesha tena!!
 
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Ukitaka kuwa bondia usiogope ngumi za uso....
 
Back
Top Bottom