scaltingscalting
Senior Member
- Feb 10, 2017
- 148
- 55
Naomba uje mana hata mimi nakuzimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muwekee tu mitego akutongoze[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Tena baada sana after ku confirmLengo ni moja tu, Dushe +papuchi =utamu....... Malengo baadae
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Jamani polee mwaya lkn kupenda siyo dhambi we mwambie akikukataa basi hunabudi kukubaliana na ukweli na hata skikutangaza mi sioni tatizo coz siyo kitu cha ajabu ,,,,,
Huyu mtt n mwoga yanid amtafteJibabatize naye huko huko pm huwezi jua labda naye anakuzimikia. Kila la heri ukiweza lete mrejesho. 😉
Asante mkuuJamani polee mwaya lkn kupenda siyo dhambi we mwambie akikukataa basi hunabudi kukubaliana na ukweli na hata skikutangaza mi sioni tatizo coz siyo kitu cha ajabu ,,,,,
Mmmmmmhhh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mpe tu moyo lakin
Kuanzishiwa thread ya povu
Co kitu cha mchezomchezo
Haa haa haa
Ushauri ganj wakati ameshapenda..[emoji4] [emoji4] [emoji4] toa ushauri banaa
Sasa tufanyejeMmmmmmhhh
ndo maana yake,,He! Kwahiyo hata km demu Hujampenda unakubali tu?!