Kuna mtu nimemzimikia

Jamani polee mwaya lkn kupenda siyo dhambi we mwambie akikukataa basi hunabudi kukubaliana na ukweli na hata skikutangaza mi sioni tatizo coz siyo kitu cha ajabu ,,,,,
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mpe tu moyo lakin
Kuanzishiwa thread ya povu
Co kitu cha mchezomchezo
Haa haa haa
 
Jibabatize naye huko huko pm huwezi jua labda naye anakuzimikia. Kila la heri ukiweza lete mrejesho. 😉
Huyu mtt n mwoga yanid amtafte
Mshenga
 
Reactions: BAK
Jamani polee mwaya lkn kupenda siyo dhambi we mwambie akikukataa basi hunabudi kukubaliana na ukweli na hata skikutangaza mi sioni tatizo coz siyo kitu cha ajabu ,,,,,
Asante mkuu
 
Fanya ivi kwa kila atakacho andika atakama mda mwingine ni pumba,ama maharagwe we gonna likesss za kutosha,na usi ishie hapo we msifie tuu tuu,ata blo mwenyewe lazima akufuate in bo bo....
 
Mbona hujani P.M mpaka sahivi mama,
au hujawa na uhakika wa hisia zako et!
 
Huyu mrembo kaanzisha thread ili aone comments za wakuu juu yake. So wakuu hakuna fursa hapo Papuchi ilishawahiwa hiyo.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mpe tu moyo lakin
Kuanzishiwa thread ya povu
Co kitu cha mchezomchezo
Haa haa haa
Mmmmmmhhh
 
Toa hizo cartoon hapo kwenye avatar, weka avatar ya mrembo na wewe. Mpaka anakuogopa sababu ya hiyo avatar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…