Kwa hiyo wewe hutaki kufaidi?mara nitafahidi sijui yaan sielewi ngoja niende kwa bashite sijui karudi
MwambiePambana, ujue jana ilikuwa siku wa wanawake
Nshakuambia toa huo mgari hapoooNatumai ntapata jibu kupitia wewe pacha wake mana dah
hapana kwakweliSasa we gari la nini, au wapenda gari mwenzangu
yaan ila husna hawezi ongea uongoHapo ndo sijaamini yaani, kuna watu wana bahati mpaka naona wivu
Mpendwa kwani tunasali kwa Ngwajima sieSina mpendwa sina kabsaa itakua nshapita kwa hili
kufaidi nnKwa hiyo wewe hutaki kufaidi?
Kweli??? Hongera zao, ila kuwa mchepuko Mmmmmhyaan ila husna hawezi ongea uongo
Tunasubiri weekend tukafanye yetuHusna acha uongo!!! Eheee ikawaje
Hahahhahah huyu atakua mfuasi wakeMpendwa kwani tunasali kwa Ngwajima sie
Khaaaa yamekua hayo njoo unipikie kitaota tu kwa vile nakupendamm napenda wenye vitambi ww ndio anaowapendaga sakayo mpo flat
Da shunie unatakiwa hukuu
Sijaelewa mana mii nakutaka zaidi ya maneno yenyewe
[emoji15]Nchape tu mama...
Pole wangu njoo nikufute jasho mpendwasi kwa kupambana huku
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hapo ndo sijaamini yaani, kuna watu wana bahati mpaka naona wivu
KabisaaHahahhahah huyu atakua mfuasi wake
MmmmmhTunasubiri weekend tukafanye yetu
inawezekana mama kama umependa hakuna namna unakua upo nae kwa ajili ya starehe tu no futureKweli??? Hongera zao, ila kuwa mchepuko Mmmmmh
Hapo kwenye "mpendwa"weka "baby"Sina mpendwa sina kabsaa itakua nshapita kwa hili
Yani apo mmeniweza aisee ata sijui yanalegezwajealegeze sasa [emoji23]