Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Warereeeee utuletee mrejesho safi snaTunasubiri weekend tukafanye yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warereeeee utuletee mrejesho safi snaTunasubiri weekend tukafanye yetu
mpk makamo hayo hauna mke tuKhaaaa yamekua hayo njoo unipikie kitaota tu kwa vile nakupenda
Hivo eeeh?basi punguza sautiUnaharibu sasa, hata mtu akicheka kwa mdeko wadhani wachekwa we wa wapi jamani
huyo bwana haendi na wkt unamuelekeza weeh siku ya siku ata mambo mengine utamuelekezaDa shunie unatakiwa hukuu
Ili iweje?!yaan ila husna hawezi ongea uongo
mm namwamini sijui kwa nnMmmmmh
Husna wewe, ya kweli hayo
[emoji8] [emoji8] [emoji8] na wewe ni wanguhuyo wa kwako
hahahahahhHapo kwenye "mpendwa"weka "baby"
Labda utaeleweka
sakayo njo kawa mkweliYani apo mmeniweza aisee ata sijui yanalegezwaje
Nikubali tu mana ushanijua
Hehehemm namwamini sijui kwa nn
ndio hapo sasa uwe mkweli tuwe wakali kwa wanaommendeaIli iweje?!
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Sipendi flat mie, kiwepo cha kufutia simu
Hivi manga unasali kwa gwajima tuite majina yetu[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Khaaaa. Wewe tena mpendwa? siamini sio wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]Hehehe
Ngoja tusubirie mrejesho tuu
Wapendwao ndo hesema hayo maneno tehteh tehHehehe
Mie ni mshengaa bhana
Wanawake ni wengi kuliko wanaume so sio ajabu wengine tukiwa michepukoinawezekana mama kama umependa hakuna namna unakua upo nae kwa ajili ya starehe tu no future
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji8]hivi mbona hueleweki [emoji15]
Asimjue kivipi na yeye ndo kamshikia mkono?shemeji yako si unamjua
Hilo tu msijaliWarereeeee utuletee mrejesho safi sna