Asante shemeji ha ha haaaUmependeza na hiyo avatar yako shemeji
Basi sawaKua mpole, we wafikiri kutongoza ni kunywa chai
hahahhah mwanzo ungecheka aliweka ya mwanamke kavaa umini hatariii nikakaa kimya naona kaweka hiyo hivi huyu sio wa koromije au kule kwenye tetemekoShost, kabadili avatar kwa sababu yako!!! Huyu hajui kuandika ila anaonekana ni muhongaji mzuri
teh tehMumfaidi nani, mkeo anakutafuta humu. Usitake nimwagiwe tindikali mie
HahahhahhHehehe
Mwambie bae nimekumiss
hahhahah sakayo muonee hurumaUsivuluge bhana nimefanya uote ulonielekeza mbona unanigeuka hem msome kwanza huyo unaesema mke
najua ww wa kike mfyuuuMie tenaa!!!
Mie wa kike bhana, mbona unadataa. Ila kapendeza na hako ka avatar
hahahahhHahaaa, sio kwa jibu hilo
Sio mbeba funguo
Hehehehahahhah mwanzo ungecheka aliweka ya mwanamke kavaa umini hatariii nikakaa kimya naona kaweka hiyo hivi huyu sio wa koromije au kule kwenye tetemeko
shemeji yako kwa nanUmependeza na hiyo avatar yako shemeji
hahahhahhEspy ukuje huku, ex wako anataka muke ingine
Namhurumia sana tuu, sema Najikuta naandika tuhahhahah sakayo muonee huruma
Hebu usimnyanyase ex wangu, mpe kitu roho inapenda.Espy ukuje huku, ex wako anataka muke ingine
sijajua nilikua nacheka kimyakimya n mkaree anajua kuchaguaHehehe
Mbona hukumdaka huyo mdada unionyeshe jamani!!!!
Ndo mke wake nini
Teh teh najua kutimiza majukumu tuKwani huongi wewe shemeji
HahaahhNamhurumia sana tuu, sema Najikuta naandika tu
Heheeeeeeeenajua ww wa kike mfyuuu
anakutaka wwHebu usimnyanyase ex wangu, mpe kitu roho inapenda.
AkuuuHebu usimnyanyase ex wangu, mpe kitu roho inapenda.
Ha haha haa kumbe uliona kujichnganya tu hafu mnatesa na mbavu ujuehahahhah mwanzo ungecheka aliweka ya mwanamke kavaa umini hatariii nikakaa kimya naona kaweka hiyo hivi huyu sio wa koromije au kule kwenye tetemeko