Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hehehe
Mwambie bae nimekumiss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe
Wewe mwanamke mbona hukosi sababu khaawe nenda tu kaweka spair tyre tu kwa espy hakuna namna
Usivuluge bhana nimefanya uote ulonielekeza mbona unanigeuka hem msome kwanza huyo unaesema mkeKumbe una mke humu, mmmh baki tu njia kuu
Teh teh tehhahahh nakunyimaje we si ndio utakua mbeba pochi wangu
Mie tenaa!!!ww dear yaan acha tu
Kupenda kupitiliza ndo lugha gonganahahhhhhah
Haya bhanaWivu ndio mapenzi mume wangu.
Nakupenda[emoji8] [emoji8]
Hahaaa, sio kwa jibu hilohahahh nakunyimaje we si ndio utakua mbeba pochi wangu
Lazima wapotezane maana huo mwandiko sio wa nchi hiiHahahaahh mke wake ana mume mwingine sijui walipoteana wapi
Kwani hukamielewa aliponisalimia kasema mya ex asa jamani bado tu hamkubaliHahahaahh mke wake ana mume mwingine sijui walipoteana wapi
long time maa= nilifikiria
Mwambie muoane ID yako inaonesha u Muislam.
Umependeza na hiyo avatar yako shemejiWewe mwanamke mbona hukosi sababu khaa
Hafu wewe asa ndo nini ivyo punguza vituko bhanaa ha ha haaaShost, kabadili avatar kwa sababu yako!!! Huyu hajui kuandika ila anaonekana ni muhongaji mzuri
Hem muete huyo mke wangu namii nimuoneMumfaidi nani, mkeo anakutafuta humu. Usitake nimwagiwe tindikali mie
Kua mpole, we wafikiri kutongoza ni kunywa chaiUsivuluge bhana nimefanya uote ulonielekeza mbona unanigeuka hem msome kwanza huyo unaesema mke
Kwenye mapenzi hawa ma X ndo waharibifu tena ndo akufuata nyuma ka mkiaKwani hukamielewa aliponisalimia kasema mya ex asa jamani bado tu hamkubali
Kwani huongi wewe shemejiHafu wewe asa ndo nini ivyo punguza vituko bhanaa ha ha haaa
Espy ukuje huku, ex wako anataka muke ingineHem muete huyo mke wangu namii nimuone
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Mie tenaa!!!
Mie wa kike bhana, mbona unadataa. Ila kapendeza na hako ka avatar