Kuna mtu nimemzimikia

Nani anazengea [emoji23][emoji23].

Kwa Kujifanya haunitaki kumbe karoho kanatokwa na udendaa. Wee njoo bhn milango ipo wazi
Oooh my God oooh!!!!
Hii ni abomination mdogo wangu[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
usijisikie kupendwa angalia na anaekupenda nadhani kama ungeweka napicha yako hapa wengine tungekua tayali hatuitaji hata jibu la kutajwa kupendwa
 
nilikuambia usisite kuja PM
 
Fanya ivi kwa kila atakacho andika atakama mda mwingine ni pumba,ama maharagwe we gonna likesss za kutosha,na usi ishie hapo we msifie tuu tuu,ata blo mwenyewe lazima akufuate in bo bo....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…