Si mimi niliesema ni DabyHahahhahh na jana alisema alichange majina mara 3
Sio yeyeSio Manga kweeeli
Tutakula nae bila yeye kujuaHapo sawa, kumbe wamwogopa babu wangu eeeh
Nini kinakufanya ujiamini kiasi hichoTutakula nae bila yeye kujua
Nimembia nataka nihamishie huko mabox yangu yoteTuma cha kawaida kabisaa
Na kweli, Supermarket ana mwandiko mtamu sanaSio yeye
Shunie nae kadataSi mimi niliesema ni Daby
Sasa ex wangu huu ni msaada wa kuniomba kweli!!Si muelewi huyu anarusharusha tu miguu kuachia hataki hem nisaidie kumjibu maswali yamenizidi
HeheheKwani kama sina mke utanikulia eeeh
Vibabu hoyeeeee!Nipo ziwaaa
Vibabu havina makuu, kamoja hooooiii na kiinua mgongo wapewa choote
Ushapata jibuKama ni Manga basi amekwisha sio kwa mwandiko huo, supermarket alikuwa na mwandiko mtamu kuliko wa Daby
Sijui nikatoe talaka ya masaa ebu nishauri mamilo.Hehehe
Tutakulana maana hamna namna ingine
Kazi yako pevu kumbeeHahaha supermarket mwandiko mtamu wapi alimshindwa Shunie mistari nikamwandikia ila wapiiii...
Shunie yeye ni hela tuu, sasa nyie mwaandika kawaambia anataka WatunziHahaha supermarket mwandiko mtamu wapi alimshindwa Shunie mistari nikamwandikia ila wapiiii...
Pole sana shemeji.Yaani kabla sijareply huwa nazizoom.
Fahari ya macho kuona ila yangu yamezidi [emoji14][emoji14]
Mmmh....Vibabu hoyeeeee!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]espy kumbe ulichange jina bila huu uzi nisingejua najua mdada kaibuka tu hajaingia mda jf
Keshakua babu yuleNini kinakufanya ujiamini kiasi hicho
Ponea ya Husna ni kufunga huu uzi abaki pm na Daby wakeMna anza sasa huko msiende tubakini tu dada angu asije kula sumu buree
Ila supermarket alikuwa ananichekesha aseeh sijui huyu jamaa kapotelea wapiKazi yako pevu kumbee