Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Tuma cha kawaida kabisaaKuna kiwango cha mwisho usikatae shem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma cha kawaida kabisaaKuna kiwango cha mwisho usikatae shem
Hafu nyingine nipeleke wapi si wajua sina wakunileawe tuma ambacho kinaingia
Mpesa pachampesa na tigo pesa [emoji134] [emoji134] sakayo nakuhitaji hapa
Asante shemWe badilisha hiyo lugha bhana
Atakae patikanahahahhh atampata nan sasa
Duh usinambie nae ni wa tanga ha ha haa nikuite shemeji mara mbili ha ha haaaWala unanilisha maneno mie. ....
Husna hana shida toto la kitanga [emoji8][emoji8]
Ngoja tusubiri [emoji23][emoji23]Hehehe
Babu hakufi wewe
Hapana hapana tena hapanaYaani hata Manga anaweza kuwa Supermarket
Mbona rahis kugundua mtu alochange jina rudi nyuma ya thread zake za mwanzoni utaona.Daby ndo mara tatu, ila kagoma kusema hata moja
Ukipata jibu ulitafakali kwanza usikulupuke kimaamuziespy we ndio unamjua huyu mtu vizuri kumbe alikua haongi
We Subiri tuu, ila utazeeka utuacheNgoja tusubiri [emoji23][emoji23]
We id yako ya zamani ni ipiHapana hapana tena hapana
Bila shaka ukifika huko umekwisha hua nashangaaga sana wenye taaluma zaounapenda pm
Kama ni Manga basi amekwisha sio kwa mwandiko huo, supermarket alikuwa na mwandiko mtamu kuliko wa Dabyinawezekana et
Hehehe
Mna anza sasa huko msiende tubakini tu dada angu asije kula sumu bureeAlivyo na tamaa huyo Husna ana kazi ya ziada
Hahaha supermarket mwandiko mtamu wapi alimshindwa Shunie mistari nikamwandikia ila wapiiii...Kama ni Manga basi amekwisha sio kwa mwandiko huo, supermarket alikuwa na mwandiko mtamu kuliko wa Daby
Sijaelewa hapo, au Shunie umeelewa shogaaBila shaka ukifika huko umekwisha hua nashangaaga sana wenye taaluma zao
Anakuambia nikipata namba tu kaisha
Kwani kama sina mke utanikulia eeehHehehe
We si ulisema una mke wakati ukikwepa tongozo la Husna