Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Ikitokea ametoa kilichoendelea kwenye pm, huyo atakuwa hajakomaa na wewe itakuwa umeshatua mzigo uliokuwa unakusumbua muda mrefu. Mbona sisi tunawafuata sana pm, mbona huwa hamleti huku, mnakaa nayo moyoni, hata kama tukiendelea kuwasumbua. Go on.....
 
Back
Top Bottom