Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Apo sawaAah wapi kamia na ukipata chapa kama mandingo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo sawaAah wapi kamia na ukipata chapa kama mandingo.
hahahah tongozo la kishilawadu lipoje DabyTulia mtoto anaelekea... unajua hawa watoto wa kitanga hawapendi tongozo la kishulawadu eeh
humtaki husnaUnanitonesha ujue
Yaani kabla sijareply huwa nazizoom.Sasa shemeji hizi lipsi ujue ndio ugonjwa wa kaka yako.
Hivi uliambiwa pesa kazi yake nini?Ukitaka pesa nitakupa lakini siyo shunie.
Njoo nikunongoneze pm....hahahah tongozo la kishilawadu lipoje Daby
we tuma ambacho kinaingiaHivi unajua kunakiwango kisicho ingia kwenye cm?
We badilisha hiyo lugha bhanawe tuma ambacho kinaingia
hahahhh atampata nan sasaAah wapi kamia na ukipata chapa kama mandingo.
Wala unanilisha maneno mie. ....humtaki husna
Yaani hata Manga anaweza kuwa Supermarketespy kumbe ulichange jina bila huu uzi nisingejua najua mdada kaibuka tu hajaingia mda jf
espy we ndio unamjua huyu mtu vizuri kumbe alikua haongiKumbe siku hizi unahonga!!!
HhahahhHivi kumbe natisha eeeh
Babu Asprin ukuje useme ukweli
Kama unataka kuniharibia hiviii na wajua nlienda kutafutaKumbe siku hizi unahonga!!!
ata mm nahisi usikute kaja na id nyingineUlimkimbizia wapi, au kaja na id ingine maana nami namsaka
Pm ya kazi gani, Husna ukuje huku mchepuko wako unachepukia kwingineNjoo nikunongoneze pm....
Akikushindwa itabidi nivue koti nikuje maana sio kwa ugumu huuhahahhh atampata nan sasa