Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Kwani wee hizi post zako za uchochezi hujulikani?Daby kajulikana kwenye comments na thread zake ndio kilichofanya azimikiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wee hizi post zako za uchochezi hujulikani?Daby kajulikana kwenye comments na thread zake ndio kilichofanya azimikiwe
Sijakusaliti babuMambo poa. Haya nambie umeamua kunisaliti mchana kweupe???
Sio mbaya lknMara moja moja nachungulia tu
Mnihakikishie na utam utakwepoEndelea kuganda
mm toka lini nikawa na post za uchocheziKwani wee hizi post zako za uchochezi hujulikani?
Babu kwa nini unanidanganya
Nitajie mawili niliyokudanganya zaidi...Babu kwa nini unanidanganya
Mm nakataa hyoKwanza hakuna Mwanaume anayekataa papuchi,
Madame sisi ni mazombie,
na sikuzote zombie halishibi damu
HeheheMnihakikishie na uta utakwepo
tutakuwepo wapiHehehe
Usijali mie nipo na Shunie hapa
Unasingizia unanipenda [emoji24] [emoji24]Nitajie mawili niliyokudanganya zaidi...
Hapa jamvinitutakuwepo wapi
Iko poa kabisa sijui kwenu?Sio mbaya lkn
heeeh kwahiyo tuendelee kuwepo mpk yy aseme basi auHapa jamvini
safi sanaIko poa kabisa sijui kwenu?
Hivi ntaanzaje kukusingizia?? Huu moyo wangu mbona haujawahi kuwa mdanganyifu??Unasingizia unanipenda [emoji24] [emoji24]
Hapana unanidanganya, yule mchuchu unaezimia kila ukiona comments zake ni naniHivi ntaanzaje kukusingizia?? Huu moyo wangu mbona haujawahi kuwa mdanganyifu??