Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Humuwezi kivipi sasa pacha angutatizo ww unaniachia mwenyewe mm peke yangu simuwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humuwezi kivipi sasa pacha angutatizo ww unaniachia mwenyewe mm peke yangu simuwezi
Kama ana kitambi naomba tuishie hapa, khaaa hapanaNdio mambo asiyoyapenda sakayo ya vitambi huna kitambi kweli
mara nitafahidi sijui yaan sielewi ngoja niende kwa bashite sijui karudiHumuwezi kivipi sasa pacha angu
Pambana, ujue jana ilikuwa siku wa wanawakemm simuwezi
Ani wewe hunipendi vile sina kitambi jamani?hahahhh sakayo si ndio unaowapendaga wa hivyo
hahahaahh nimemkumbuka yule sijui n chief sijui nani mwenye watto vibongeKama ana kitambi naomba tuishie hapa, khaaa hapana
Na wewe umekuwaje tena bhana, nshakuambia legeza mwandikoNimeshangaa kwakweli
Hapo sawaHem nambie nini kimekushinda nijirekebishe
mm napenda wenye vitambi ww ndio anaowapendaga sakayo mpo flatAni wewe hunipendi vile sina kitambi jamani?
HeheheHilo ondoa shaka kabsaaa nipo vizuri yani flat
si kwa kupambana hukuPambana, ujue jana ilikuwa siku wa wanawake
alegeze sasa [emoji23]Na wewe umekuwaje tena bhana, nshakuambia legeza mwandiko
Unaharibu sasa, hata mtu akicheka kwa mdeko wadhani wachekwa we wa wapi jamaniUnanicheka mpendwa mii sio fun yangu kuandika nikubali tu utafaudu vingine
si ndio mambo yako hayo [emoji23]Hehehe
Warereeee
huyo wa kwakoUnaharibu sasa, hata mtu akicheka kwa mdeko wadhani wachekwa we wa wapi jamani
Sipendi flat mie, kiwepo cha kufutia simuhahahhh sakayo si ndio unaowapendaga wa hivyo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Dah..! Umefundwa mama.
Kwa jinsi ulivyoitika kwa heshima..Airtime inakuhusu. Njoo chumbani kwa maelekezo zaidi jins ya kupata zawadi yako!
Hehehekwan ww unanitaka mpk nikukubali ndio mana nasema sikuwezi mm acha nikuache na sakayo
hivi mbona hueleweki [emoji15]Sipendi flat mie, kiwepo cha kufutia simu
Bashite hajarudi, yuko kwa likizo ndeeeefumara nitafahidi sijui yaan sielewi ngoja niende kwa bashite sijui karudi