Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Mie nakuzimia Shuniehahahh nampenda sana sakayo
Ila huyu hafai kwa matumizi ya binadamu, unaona huo mwandiko lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nakuzimia Shuniehahahh nampenda sana sakayo
Wala hamkomi mana mimi mineno sinahahahahh sbbu ya gari ndio mana umehisi wa kule ngoja aje tutakoma
Magari sio mazuri mwaya, zuri likiwa lako na jina lako tuusipendi ndio
HahaaaAfu ujue unaroho mbaya mwenzio alivo kutetea mpaka ikawa mterezo?
Yani akuambie kabsaa nawee uende tehteh jokeHusna acha uongo!!! Eheee ikawaje
Anza na avatar kwanzaWengine ubunifu wetu upo kwingine ujue hatuwezi fanana
Cheko lako tu[emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, sitaenda huo mchezo ni hatari kwa afyaYani akuambie kabsaa nawee uende tehteh joke
Gali si kipando sakayo lakini nshasema ntabadiliSasa we gari la nini, au wapenda gari mwenzangu
Duh!! Maisha yanaenda speed sijapata ona mimi...Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Mwandiko gani tena huu Mungu wangu
Sijaelewa mana mii nakutaka zaidi ya maneno yenyewe
Duuuuh pole xana bt vuta moyo unene ya moyoni waz wazHabari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Ukiunganisha na nyie ndo kilicho nigandisha kwa huu uziHapo ndo sijaamini yaani, kuna watu wana bahati mpaka naona wivu
hahahhhMie nakuzimia Shunie
Ila huyu hafai kwa matumizi ya binadamu, unaona huo mwandiko lakini
Hahahahhh uwiiiiWala hamkomi mana mimi mineno sina
najua mamaMagari sio mazuri mwaya, zuri likiwa lako na jina lako tuu
Sawa nipe muda tuNshakuambia toa huo mgari hapooo
halaf n mbishiAnza na avatar kwanza