Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Fungua basi huko kuna mizigo yangu ni iwekehaeleweki huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungua basi huko kuna mizigo yangu ni iwekehaeleweki huyo
Usinisahau usingizini babyhahahh ndio nalala kesho
hivi unataka wangapiKweli hawawezi ni tamaa tu tutasaidiana tu
sawaHapana mpenzi ilikua naingia barabarani kurudi hom nimeshafika tayar
ata mm nilikua sijuiNdobalipo jitambulisha nikagundua kua kweli ni wangu aisee ata sijui kwa nini kabadili id
[emoji1] [emoji1] [emoji1]husna njo msikie baby wako
siri yangu mm na baby wangu [emoji23]
Nitakuota na uwe tayari kunipokea ndotoniUsinisahau usingizini baby
[emoji15] [emoji15] wapi nifungueFungua basi huko kuna mizigo yangu ni iweke
Mpokee Manga bhana...mwenzako atakufa eti...siri yangu mm na baby wangu [emoji23]
bila ww nisingejua ata
kakubali kuwa mshika pembeMpokee Manga bhana...mwenzako atakufa eti...
Nataka nikujuze mengine usiyoyajuabila ww nisingejua ata
Ndio nnamuona kila siku nikajua watu wapya hawa nimeishangaa ile salam ila yuko poa sana mwengine ange endelea kunichora tuNilikua sijuagi kumbe n atoto
We subutu! Sema tunawatia moyo tu.He! Kwahiyo hata km demu Hujampenda unakubali tu?!
Hee... staki kuamini halafu nikuitage shemeji au inakuaje sasa!kakubali kuwa mshika pembe
Neno ni moja tu hayo mengine usiyashangae mimi nakupenda wewe tuhivi unataka wangapi