Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Bila wewe tusingemjua ha ha husna atazua mengi humuata mm nilikua sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila wewe tusingemjua ha ha husna atazua mengi humuata mm nilikua sijui
nijuze mengine yapi hivi na mm siku nikibadilisha jina sipati picha [emoji23]Nataka nikujuze mengine usiyoyajua
hahahhahNdio nnamuona kila siku nikajua watu wapya hawa nimeishangaa ile salam ila yuko poa sana mwengine ange endelea kunichora tu
Niite shunie shemeji kwa nan labda kwa husnaHee... staki kuamini halafu nikuitage shemeji au inakuaje sasa!
HuelewekiNeno ni moja tu hayo mengine usiyashangae mimi nakupenda wewe tu
Yani huezi fikiri kabsaa mii nilitaka kuuliza kwenye uzi huu huu kuhusu @atoto ila nikawa nasita
Mimi tena mbona nta anza kukuotaNitakuota na uwe tayari kunipokea ndotoni
Hivi haujawahi kubadilisha...mim jina la tatu hili.nijuze mengine yapi hivi na mm siku nikibadilisha jina sipati picha [emoji23]
Kwa Manga na husna pia .Niite shunie shemeji kwa nan labda kwa husna
hahahahh mm namuonaga kila siku najua tu mtu alipotea na id yake karudi tena kumbe atotoBila wewe tusingemjua ha ha husna atazua mengi humu
sijawahi kwa nn ulibadilishaHivi haujawahi kubadilisha...mim jina la tatu hili.
manga mpk atulie kwanzaKwa Manga na husna pia .
Manga Maliza game nimekuamshia mtoto.
Elewa hivyo na Amini hivyo mpenziHueleweki
sawaElewa hivyo na Amini hivyo mpenzi
Hapa kuna deko tu tatizo langu sina taaluma nalo kazi kuu imekwishaKwa Manga na husna pia .
Manga Maliza game nimekuamshia mtoto.
Mii vile sii ingiagi sana basi walaa sijamshangaa sanahahahahh mm namuonaga kila siku najua tu mtu alipotea na id yake karudi tena kumbe atoto
Hahaha...Hapa kuna deko tu tatizo langu sina taaluma nalo kazi kuu imekwisha
Hafu unajua wana nitesa sana hii avater nta ji quote tu dah
Katulia bwana...manga mpk atulie kwanza
Huo utulivu unaotaka nifungulie kwanzamanga mpk atulie kwanza
Love you [emoji8] [emoji8] [emoji8]sawa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] hafu na wewe unganisha tu na wivu uache mtoto watu kajilipua ujue uwe na huruma huyu muache tu awe shemeji yakoHahaha...
Katulia bwana...
Kwa anavyokujua asingekutongoza huku akiwa na makando kando.
Ujue naona wivu kumpigia kampeni mtu lkn