Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Nishamuelekeza ni utayari wake tuManga njo pacha anataka redbull [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishamuelekeza ni utayari wake tuManga njo pacha anataka redbull [emoji23]
HahaaaAsante shem
Hivi yako ya zamani ninani vilee?
hahahhhSio kimapenzi lakini
Baada ya kupiga ndo nka flash hem ni beepMbona jana umenipigia, au ndo waninyima kimtindo
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa
Umeandika vizuri mpaka nimekupenda!!!
Hehehe ya zamani ndo hii hii
Mfuate tu uko pm muyajenge....Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Mbona wajishtukia tenaSio kimapenzi lakini
Eti eeh? Naghaili basina usibadili tutakukimbia
HeheheBaada ya kupiga ndo nka flash hem ni beep
hutopata aibu.....ona kuwa ni kawaida tuuAsante mkuu ila naogopa anaweza kuja kunjchAna nikapata aibuu
Ha ha haaa shamnalai inatuhusuhuyo atakua msambaa mwenzangu nilivyoona she [emoji23]
inahitaji ajiandae kisaikolojiaJamani polee mwaya lkn kupenda siyo dhambi we mwambie akikukataa basi hunabudi kukubaliana na ukweli na hata skikutangaza mi sioni tatizo coz siyo kitu cha ajabu ,,,,,
Haya shemWanakumbushwaga na hela, sio maneno makavu
hahahhh shambalai na umba riverHa ha haaa shamnalai inatuhusu
Wewe ni wa nchi gani kwani ha ha haaaaYaani Utafikiri umetaja mzizi, imenichukua dk 5 kujua ni jina la shemeji
Utakua unaniroga wewe sio kwa kosa hilo ha ha haaaVizurinyu ndo nini sasa
Kama Zakayo au sioAbadili tu, ila achague jina lenye mvuto
Asifunge mana nita wapotezaHehehe
Hebu husna aje afunge huu uzi, maana Manga kafanya ndo kijiwe
Sijui unahisi ni mabox ya nini?utakosa ma utam ujuehuko n hela tu sipokei mabox mm
HahahhhhKama Zakayo au sio