Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hainaga urafiki hiyo 😀😀😀Mkuu habali wewe huna adui bali unamarafiki wema tu
Ha ha haaa shambalai inatuhusu
Ivoivohahahhh shambalai na umba river
Nimekujahahhahah akija Daby
Itakua poa ikiwa hivyohahahhah kwahiyo unataka huu uzi uwepo tu kama meeting place yetu hii kali sakayo nilikwambia hii makapuku forum ya pili
Hata ya pesa huyataki kweli?mabox mm sitaki acha mautamu yanikose tu
mpe apa apa hadharani ili hizo mbinu zisaidie na wengneNjoo nikupe mbinu shirikishi
Makazi je mii nahisi mchaga huyu ni mtaniyy na mm mkoa mmoja
Na haaamna umekamatika haswa
mwalimu wake manga mpe nguvu sasaNimekuja
Msosi uko pembeni apa sijaula bado naoba ruhusa basina umekamatika haswa
hapana tutamwambia husna aufungeItakua poa ikiwa hivyo
hela kwenye mabox zinafanya nn ni za wizi hizoHata ya pesa huyataki kweli?
mmh sidhani kama mchaga eb ngoja ajeMakazi je mii nahisi mchaga huyu ni mtani
kula tuMsosi uko pembeni apa sijaula bado naoba ruhusa basi
Hii roho mbaya sasa vizuri kula na mwenzioHainaga urafiki hiyo 😀😀😀