Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
KafichwaIla supermarket alikuwa ananichekesha aseeh sijui huyu jamaa kapotelea wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KafichwaIla supermarket alikuwa ananichekesha aseeh sijui huyu jamaa kapotelea wapi
Namba ni ile ile zitume fasta.Utakacho sema ni amri kwangu sina sababu kwako
hahahah una maswali tata sbbu Daby yupoIla wapi kutakua wazi?
Usiunge mkono hoja huu uzi ni wa ukumbosho wako + mimiNa kweli ebu fanyeni haraka mchukuane mtuachie jukwaa tujinafasi na mama watoto.
Hahaha...Hahaaa
Talaka tena, we ushawahiwa kulaneni tu na Husna tayari yuko bench anasubiri mtu ateguke ili aingie
HahahaLisha funyuka ni yeye tu
zitaenda bankHafu nyingine nipeleke wapi si wajua sina wakunilea
Sio afungue ampe yote atoe mwenyeweHaha.... hili dongo kwa Manga. Mkuu fungua wallet
Manga kazi kwakoMpesa pacha
Biblia inasema ukimuangalia mwanamke kwa kumtamani basi umekwisha kuzini nae, we unazini tu na lipsi zangu burebure kweli!!!Hehehe....
Naimani unataka malipo ya kiss shem. Au unamaanisha Ankara!
Alirudi mwaka mpya, akaaga mazimaAlafu kweli, supermarket alipotea kabisaa tangu aende krismas hakurudi.
sawaAtakae patikana
Tumefika huko shemeji....Kwakweli bora hata vina faida, kuliko hawa kina manga na daby madebe tupu tu, kelele nyingii vitendo nehii!!
Bila shaka tena katikati ya mapajaKafichwa
Mie nshamaliza, Shunie na Manga na Espy mkuje muage watu wanataka kuzima taaNa kweli ebu fanyeni haraka mchukuane mtuachie jukwaa tujinafasi na mama watoto.
Yana pesa sakayo si nilienda kutafuta ndo mpaka nikatemwaMabox ya nini kwani ataka fuga panya
he he he mnatamani hiki kikojoleo
Ole wako usimfungulie nitampa funguo soonhahahah una maswali tata sbbu Daby yupo
hhahahahhBila shaka ukifika huko umekwisha hua nashangaaga sana wenye taaluma zao
Anakuambia nikipata namba tu kaisha
au wambeke ujue sijamuona mda shemeji yanguKama ni Manga basi amekwisha sio kwa mwandiko huo, supermarket alikuwa na mwandiko mtamu kuliko wa Daby